How to update or add bank information to your driver account

Unaweza kuongeza taarifa ya akaunti yako ya benki kwenye programu ya Dereva au wallet.uber.com.

Programu ya Dereva:

  1. Bofya kitufe cha menyu (mistari mitatu) kwenye upande wa juu kushoto.
  2. Gusa Wallet na Njia za malipo na Akaunti ya benki.
  3. Gusa “Badilisha.”
  4. Weka maelezo ya akaunti yako ya benki kisha uguse “Imekamilika.”

Kwenye wallet.uber.com:

  1. Chagua "Wallet" kwenye upande wa kushoto.
  2. Bofya akaunti yako ya benki.
  3. Bofya “Badilisha” kisha usasishe taarifa ya akaunti yako kama inavyohitajika.
  4. Bofya “Wasilisha.”