I didn’t receive weekly payment(s)

Unafaa kutarajia malipo yako ya kila wiki kwenye akaunti yako ya benki kufikia mwisho wa wiki. Hata hivyo, baadhi ya malipo yanaweza kuchelewa kwa sababu ya muda unaochukuliwa na benki kushughulikia malipo.

Ili kuzuia kuchelewa, hakikisha kwamba maelezo yaliyopo kuhusu akaunti yako ni sahihi.

Kama umepokea taarifa ya malipo lakini malipo hayajawekwa kwenye akaunti yako ya benki kwa zaidi ya wiki moja, tafadhali tufahamishe hapa.