Misaada ya kifedha kutoka kwa serikali kutokana na janga la Virusi vya Korona

Ikiwa unatafuta maelezo kuhusu msaada wa kifedha kutoka kwa serikali kutokana ugonjwa wa Virusi vya Korona (COVID-19), soma mwongozo kuhusu usaidizi wa serikali hapa chini ili upate maelezo zaidi.

Kama sehemu ya juhudi zetu za kimataifa za kusaidia madereva na wasafirishaji wakati wa janga la COVID-19, tunajitahidi kukusanya taarifa mpya kuhusu usaidizi wa kifedha wa serikali kama una sifa za kufaidi msaada huu wa kifedha.


KUMBUKA: Uber ina sera tofauti ya usaidizi wa kifedha ikiwa utatambuliwa kuwa na COVID-19 au ukiombwa kukaa nyumbani na mamlaka ya afya.

Ikiwa unatumia App ya Uber kuendesha gari au kusafirisha chakula, huenda una sifa za kuupata msaada wa kifedha. Ili upate maelezo zaidi kuhusu sera ya Uber kuhusu usaidizi wa kifedha, fungua kiungo kilicho hapa chini.