Malipo hayapo

Malipo huwekwa kwenye akaunti yako ya benki kila Jumatatu. Kwa sababu ya muda wa benki wa kutayarisha malipo, huenda baadhi ya pesa zikachukua siku kadhaa kufika kwenye akaunti yako.

Ikiwa maelezo ya benki kwenye akaunti yako ni sahihi na hujapokea malipo ndani ya wiki moja, tujulishe hapa chini.