Tuko hapa kukusaidia

Futa akaunti yangu ya Dereva

Jaza maelezo yaliyo hapa chini na tutachakata ombi lako la kufuta akaunti yako ya Dereva.

Tafadhali kumbuka, ikiwa una akaunti ya Msafiri au Uber Eats iliyo na maelezo sawa, itafutwa pia pindi ombi lako litakapokubalika. Ili uendelee kutumia akaunti hizi, tafadhali tujulishe ndani ya siku 30.

Ukiifuta akaunti yako ya Dereva, hatutaweza kuirejesha.

Uber inaweza kuhifadhi baadhi ya maelezo baada ya kufuta akaunti yako kama inavyotakiwa au kuruhusiwa na sheria.
Sign in to get help