Tuko hapa kukusaidia

I had an issue downloading the app on iOS

Ikiwa unatumia simu ya Apple, unaweza kupakua programu katika App Store ya Apple. Tafuta "uber driver" kwenye upau wa kutafutia, chagua programu kisha upakue.

Ikiwa unatumia simu ya Android, unaweza kupakua kwa kutafuta "Uber driver" kwenye Duka la Google Play. Ikiwa unapata tatizo la kupakua programu ya Dereva wa Uber kwenye simu yako ya Android na kifaa chako kinakuonyesha ujumbe wa hitilafu unaosema "imeshindwa kupata muunganisho wa seva salama", jaribu kufunga kivinjari kwa kubofya menyu ya kifaa chako na kutelezesha kidole kwenda kulia huku umeshikilia programu ya kivinjari.

Pia unaweza kufuta vidakuzi vilivyo kwenye kivinjari chako. Kufanya hivyo, gonga menyu iliyo katika kivinjari, (kwa kawaida ni aikoni ya vistari vitatu katika kona ya kulia kweneye skrini ya kifaa) kisha chagua Mipangilio > Faragha na Usalama halafu gonga "Futa Vidakuzi". Tafadhali kumbuka kwamba kufanya hivyo kutafuta menenosiri yoyote uliyohifadhi pamoja na data ya kuvinjari.

Ikiwa bado unatatizika kupakua programu, tafadhali tujulishe hapa.
Sign in to get help