Nilipata ajali

Iwapo umepata ajali, tafadhali hakikisha kwamba watu wote waliohusika wako salama. Wasiliana na polisi pamoja na wahudumu wa hali za dharura ikiwa ni lazima.

Kisha, tafadhali tujulishe kilichotokea. Hakikisha kwamba umechagua safari sahihi na utupe taarifa zote ulizonazo hapa. Mwanatimu wetu mmoja atawasiliana na wewe ili kuhakikisha kwamba kila mtu yuko salama na kukusanya taarifa nyingine yoyote inayohitajika.

Wakati ajali ilipotokea: