Ikiwa una matatizo ya kupokea maombi ya safari ukiwa mtandaoni, jaribu yafuatayo:
Iwapo umejaribu suluhu zilizo hapo juu na bado hupati maombi, eneo hilo au wakati wa siku huenda ukakumbana na maombi machache. Maombi ya safari yanaweza kutofautiana kulingana na eneo, wakati wa siku, na hata wakati wa mwaka.
Ikiwa bado unaamini kuwa kuna tatizo kwenye akaunti yako, tujulishe hapa chini.
Ili kuangalia akaunti yako na kufahamu ni kwa nini huenda hupokei maombi, tunahitaji uwe mtandaoni katika programu. Tafadhali nenda mtandaoni kabla ya kuwasilisha fomu iliyo hapa chini.