Tuko hapa kukusaidia

Je, App ya dereva hutumia kiasi gani cha data?

Matumizi ya kawaida ya App ya dereva katika simu yako huwa haichukui zaidi ya GB 3 ya data kila mwezi.

Tunapendekeza utafute uwezekano wa kupata vifurushi visivyo na kikomo cha data kutoka kwa kampuni za simu.
Sign in to get help