Tuko hapa kukusaidia

Je, hatua za kujisajili ni zipi?

Kujisajili kuwa dereva wa Uber ni rahisi. Utaanza kwa kutupa maelezo fulani kukuhusu na gari ambalo ungependa kuliendesha katika mfumo wa Uber. Njia bora ya kujisajili ni kupakua programu ya madereva Pia, unaweza kujisajili katika tovuti ya partners.uber.com.
Tutahitaji kukagua vitu vifuatavyo kutoka kwako:
- leseni yako ya dereva
-kadi ya usajili wa gari
- taarifa ya bima
- maelezo na hati za ziada za ukaguzi unaoonyesha kwamba una vigezo vya kuwa dereva katika jiji lako

Baada ya kukagua na kuthibitisha hati hizi zinazohitajika, utapata idhini kamili ya kutumia programu, unaweza kwenda mtandaoni na kuanza kupokea maombi ya usafiri na upate pesa.
Sign in to get help