Kuongeza na kubadilisha maelezo ya benki

Unaweza kuongeza taarifa ya akaunti yako ya benki kwenye programu ya Dereva au wallet.uber.com.

Programu ya Dereva:

  1. Bofya kitufe cha menyu (mistari mitatu) kwenye upande wa juu kushoto.
  2. Gusa Wallet na Njia za malipo na Akaunti ya benki.
  3. Gusa “Badilisha.”
  4. Weka maelezo ya akaunti yako ya benki kisha uguse “Imekamilika.”

Kwenye wallet.uber.com:

  1. Chagua "Wallet" kwenye upande wa kushoto.
  2. Bofya akaunti yako ya benki.
  3. Bofya “Badilisha” kisha usasishe taarifa ya akaunti yako kama inavyohitajika.
  4. Bofya “Wasilisha.”

Nambari za kutambulisha benki na za hundi zinapatikana katika benki yako. Ikiwa unatumia hundi binafsi zilizochapishwa, kwa kawaida nambari hizi mbili huchapishwa katika sehemu ya chini ya kila hundi.

Tafadhali kumbuka kwamba mabadiliko kwenye maelezo ya akaunti yako ya benki yanaweza kuchelewesha kupokea kwa malipo yako ya kila wiki kwa siku 3 hadi 5 za kazi. Ikiwezekana, wasilisha mabadiliko kabla ya saa 10 alfajiri saa za eneo husika siku ya Jumatatu ili mapato yako yajayo yatumwe kwenye akaunti yako mpya.

Iwapo fedha zimewekwa kwenye akaunti yako ya zamani, tafadhali wasiliana na benki yako ili zirudishwe.