Tuko hapa kukusaidia

Kwa nini App "Imeshindwa Kubaini Eneo Langu"?

Simu yako ikikuonesha arifa hii ya hitilafu, tafadhali hakikisha kwamba UMEWASHA mipangilio ya mahali ulipo.
1. Nenda kwenye Mipangilio > Binafsi (kichwa) > Mahali.
2. Hakikisha umeweka Usahihi wa Hali ya Juu.

Ni vyema kuhakikisha kwamba programu zote katika simu yako ni za sasa:
1. Fungua Google Play Store.
2. Chagua Menyu katika kona ya upande wa juu kushoto.
3. Nenda kwenye App Zangu > Badilisha Zote.
Sign in to get help