Tuko hapa kukusaidia

Kwa nini simu yangu ina joto sana?

Programu ya madereva huhitaji betri na nishati ya kuchakata ili ifanye kazi. Ukitumia simu yako kwa muda mrefu, inaweza kupata joto zaidi.

Unashauriwa kuchaji simu yako unapoendesha gari. Ikiwa huwa unatumia kifaa cha kushikilia simu, iweke karibu na mianya ya kiyoyozi ili kupunguza joto inalopata.
Sign in to get help