Tuko hapa kukusaidia

Taarifa ya Sera ya Faragha

Sera ya Faragha ya Uber inafafanua kuhusu maelezo tunayokusanya, jinsi yanavyotumiwa na kuoneshwa kwa washirika wengine na uamuzi wako kuhusu maelezo haya.

Sera hii inalenga watumiaji wa huduma za Uber na washirika wake popote ulimwenguni. Pia inalenga mtu yeyote anayewasiliana na Uber au anayewasilisha maelezo kwa Uber, isipokuwa iwe jinsi ilivyoandikwa kwenye Sera ya Faragha.
Sign in to get help