My trip did not start or end on time

Nauli ya safari inahesabiwa kuanzia wakati unapotelezesha kwenye ANZA SAFARI hadi unapotelezesha kwenye KAMILISHA SAFARI.

Ikiwa unahisi kwamba wakati wa kuanza na kukamilisha safari hii si sahihi, tafadhali tujulishe eneo sahihi la kuchukuliwa na mahali unakoenda. Tutakagua na kurekebisha kama inavyohitajika.