Tuko hapa kukusaidia

Ni Jinsi gani vituo mbalimbali katika safari vinavyolipishwa?

Nauli itakayotozwa hutegemea jumla ya muda na umbali utakaochukua kumaliza safari. Gari likisimamishwa wakati safari inaendelea, muda huo wa kusubiri utajumuishwa katika nauli. Umbali wowote utakaoongezeka baada ya kusimama kabla ya kituo cha mwisho utajumuishwa kwenye nauli ya mwisho atakayotozwa msafiri.

Msafiri akikuomba usimame njiani kabla ya kituo chake cha mwisho, acha programu ikiendelea kuhesabu muda. Bofya MALIZA SAFARI baada ya msafiri kushuka katika gari lako akishafika mahali anakoelekea.
Sign in to get help