Tuko hapa kukusaidia

Ninahitaji usaidizi kuweka mipangilio ya kutuma pesa kwenye benki moja kwa moja

Ukianza kutumia huduma ya Uber kukuwekea pesa moja kwa moja kwenye akaunti yako katika vault.uber.com, Uber itakutumia SMS yenye tarakimu yenye nambari 4 kwenye simu kuthibitisha utambulisho wako. Nambari hii ya PIN njia ya kuhakikisha usalama wa maelezo ya akaunti yako ya benki.

Ikiwa hukupokea SMS kwenye simu yako, basi unafaa kuweka nambari ya simu iliyo kwenye akaunti yako ya Uber ili upate PIN ya uthibitishaji ili usasishe maelezo yako ya benki.

Kubadilisha namba yako ya simu:

1. Tembelea partners.uber.com
2. Bofya menyu kwenye sehemu ya juu ya kushoto mwa kona
3. Chagua WASIFU kwenye menyu ya upande wa kushoto
4. Bofya BADILISHA iliyo karibu na jina lako
5. Kubadilisha namba yako ya simu
6. Bonyeza HIFADHI

Ikiwa bado huwezi kuweka namba yako ya simu kwenye akaunti au hukupokea SMS kutoka kwa Uber, tafadhali jibu swali la usalama lililo hapa chini na utaje namba ya simu ambayo ungependa kutumia, tuko tayari kukusaidia kuiweka.
Sign in to get help