Tuko hapa kukusaidia

Ningependa kubadilisha mipangilio ya barua pepe, SMS au arifa za programu

JIONDOE

Ili kudhibiti jinsi ambavyo ungependa kupokea barua pepe, SMS au Arifa za programu kutoka Uber, tembelea ukurasa wa ruhusa za mauzo kwa kutumia kiungo kilicho hapa chini ili upate maelezo.

Tafadhali kumbuka kuwa huwezi kujiondoa ili usipokee ujumbe wa shughuli za usafiri, ikiwa ni pamoja na stakabadhi za safari na majibu ya usaidizi. Mawasiliano kama haya ni muhimu kwa utumiaji wako.
KWA ARIFA ZA SMS AU BARUA PEPE
Ikiwa ungependa kuendelea kupokea SMS au barua pepe za Uber, tafadhali weka maelezo yako hapa chini:
Sign in to get help