Tuko hapa kukusaidia

Niondoe kwenye akaunti ya mshirika wangu

Ikiwa ungependa kujiondoa kwenye akaunti ya mshirika mwingine, tujulishe hapa. Tutakuondoa papo hapo baada ya kupokea ombi lako.

Katika baadhi ya miji, hutaweza kuendesha gari hadi upate mshirika mpya au utimize masharti ya kuwa mshirika.

Tafadhali kumbuka kwamba utapokea malipo ya safari zozote ambazo ulikuwa umekamilisha katika akaunti ya mshirika wako.
Sign in to get help