Tuko hapa kukusaidia

Nitaanza kutumia akaunti yangu lini?

Utapokea ujumbe au barua pepe kutoka kwa Uber wakati akaunti yako itaidhinishwa.

Ikiwa bado hujapokea arifa, tafadhali fuata vidokezo vifuatavyo vya kutatua.

- Nenda kwenye ukurasa wako wa wasifu kwenye partners.uber.com na utaona hatua zilizosalia ili uwezeshe akaunti yako.
- Hakikisha kwamba umepakia hati zote zinazotakiwa kwenye wasifu wako. Ikiwa hati itakataliwa, utatakiwa kuipakia upya.
- Ikiwa tayari umeongeza hati zote zinazotakiwa, tafadhali subiri saa 48 ili zithibitishwe.
- Tia saini kwenye mkataba na uongeze picha ya wasifu ili ukamilishe usajili.
Sign in to get help