Tuko hapa kukusaidia

Omba data yako binafsi iliyo kwenye Uber

Data ya dereva kama vile historia ya safari, taarifa za malipo na stakabadhi ya dereva yanapatikana kwenye Dashibodi ya Mshirika.
Ikiwa pia unatumia programu ya Uber kama msafiri, unaweza kupakua data ya msafiri au kupata maelezo zaidi kuhusu kile kinachojumuishwa.
Kipengele cha upakuaji kina data muhimu kuhusu jinsi ya kutumia mfumo wa Uber. Ikiwa una maswali kuhusu data ya kibinafsi, ungependa kupokea data ya kibinafsi ambayo haipatikani kwenye kipengele cha upakuaji au ungependa kuwasiliana na Afisa wa Uber anayesimamia Usalama wa Data (DPO), unaweza kuwasilisha ombi lako kupitia kiungo kilicho hapa chini.
Sign in to get help