Ungependa kupumzika?

Ikiwa ungependa kupumzika baada ya kusafirisha chakula, unaweza kuondoka mtandaoni kwa kufuata hatua zilizo hapa chini: 1. Gusa kitufe cha "Uko mtandaoni" kilicho kwenye sehemu ya chini ya skrini 2. Gusa kitufe chekundu cha "ONDOKA MTANDAONI" Ukiondoka mtandaoni wakati unampelekea mteja chakula, bado unaweza kukamilisha usafirishaji wa chakula hicho na uache kupokea maombi mengine. Gusa kitufe cha "NENDA" ili uanze kupokea maombi tena.