Tuko hapa kukusaidia

Ripoti malipo ya mualiko kwa msafiri yasiyoonekana.

Ikiwa bado hujapokea malipo ya msafiri mmoja au wawili ni kwasababu labda msafiri hakuingiza namba yako ya mualiko au hajafanya safari ya kwanza.Unakaribishwa kuwaalika marafiki zako.

Tafadhali zingatia kuwa malipo ya kualika hayataonekana iwapo msafiri yuko kwenye safari kwenye gari lako aliloomba.

Iwapo ulishirikisha namba yako ya mualiko na msafiri ambaye ashafanya safari ya kwanaza, tutakuwa na furaha kukuangalizia hali ya malipo yako ya kualikaHata hivyo hatuwezi kufanya chochote kuhusu hilo iwapo msafiri hakuingiza namba yako ya mualiko kabla ya safari yao ya kwanza.Tafadhali tushirikishe maelezo yako hapa.

Sign in to get help