Tuko hapa kukusaidia

Simu yangu ya Android inaoneshwa 'Hitilafu ya Mtandao'

Ikiwa App yako inaonesha ujumbe wa hitilafu ya kimtandao, jaribu kufuata hatua hizi:

1. ZIMA Wi-Fi katika Mipangilio > Wi-Fi > Zima
2. ZIMA Hali ya Ndegeni katika Mipangilio > Hali ya Ndegeni > Zima
3. Washa Data ya Simu katika Mipangilio ya App > Visivyotumia Waya na Mitandao (mada) > Zaidi... > Mitandao ya Simu > Data Imewashwa.

Ikiwa hatua hizi hazitatui tatizo, jaribu kuwasha na kuzima simu yako kwa kubonyeza na kushikilia kitufe cha nishati na kuteua Zima au Washa Upya.
Sign in to get help