Tuko hapa kukusaidia

Waoneshe ndugu na marafiki safari zako

Katika miji ambapo kipengele cha Fuatilia Safari Yangu kinafanya kazi, unaweza kuwaonesha ndugu na marafiki mahali ulipo, hali ya safari na maelezo mengine yanayohusu safari. Unaweza kudhibiti watu watakaopokea maelezo haya na wakati utakapoyaonesha.

ANZA KUONESHA SAFARI
1. Kwenye app, fungua "Mipangilio"
2. Chagua "Fuatilia Safari Yangu"
3. Sogeza swichi upande wa IMEWASHWA

CHAGUA MTU AMBAYE UNGEPENDA KUMWONESHA
1. Kwenye App, fungua "Mipangilio" > "Fuatilia Safari Yangu"
2. Bonyeza "CHAGUA ANWANI"
3. Chagua majina ya watu ambao ungependa kuwaonesha safari yako

WASHA ONESHA SAFARI YANGU NINAPOSAFIRI
1. Katika sehemu ya kushoto ya skrini ya maelekezo, bonyeza aikoni ya kipini
2. Ukiona alama ya samawati, ina maana kwamba unaonesha mahali ulipo

Ili kuzima, bonyeza aikoni tena kisha uchague "ACHA KUONESHA."
Sign in to get help