Nyenzo za Usaidizi kwa Wasafiri wa Uber

Je, unatafuta maelezo ya mawasiliano?
Ingawa hatuna namba ya huduma kwa wateja kwa ajili ya wasafiri wa Uber, unaweza kuingia kwenye akaunti yako ili upate usaidizi uliowekewa mapendeleo au usome nyenzo zilizo hapa chini ili upate suluhu kwa matatizo yanayohusiana na safari za Uber.