Tuko hapa kukusaidia

Muda wa Kuendesha Gari

"Muda wa Kuendesha" ni muda unapokuwa mtandaoni ukitumia Programu ya Madereva wa Uber. Kwa usalama wako na wa wengine, huenda tukakujulisha wakati ambapo tunaona unahitaji pumziko.

Kanuni za mahali ulipo pia zinaweza kutumika, kwa hivyo hakikisha kwamba unafahamu masharti ya mahali unapoendesha gari.

Pata maelezo zaidi kuhusu jinsi ya kuhakikisha usalama kwa ajili yako na wasafiri hapa chini.
Sign in to get help