Tuko hapa kukusaidia

Mwongozo wa Jumuiya

Tunataka kila mtu ajisikie salama na afurahie huduma za Uber. Kanuni hizi zimetungwa ili kuhakikisha kwamba wasafiri na madereva wanaridhishwa kabisa wanapotumia mfumo wa Uber. Ikiwa wewe ni msafiri unayetoka sehemu moja hadi nyingine, au mshirika unayetaka kujipatia pesa kwa kuwa dereva, tunakushauri udumishe nidhamu.

Tafadhali fungua kiungo kilicho hapa chini ili upate maelezo zaidi kuhusu Mwongozo wetu wa Jumuiya kwa ajili ya uadilifu, usalama na matukio ya dharura.
Sign in to get help