Tuko hapa kukusaidia

Nashindwa kuingia kwenye akaunti yangu

Ikiwa umeshindwa kuingia katika akaunti yako ya Uber, jaribu kwanza kubadilisha nenosiri la akaunti ya Mshirika wa Uber. Tumia kiungo kilicho hapa chini upokee barua pepe iliyo na kiungo cha kuweka upya nenosiri lako.

Tafadhali kumbuka: muda wa kutumia kiungo kilichotumwa kwenye barua pepe hii utakwisha baada ya dakika chache. Huenda utahitaji kuagiza tena ikiwa utasubiri sana.
Ukishindwa kuingia baada ya kuweka upya nenosiri lako au umesahau anwani ya barua pepe uliyotumia kujisajili, tafadhali toa maelezo hapa chini ili tukusaidie. Tuko hapa kukusaidia.
Kuandika kutoka Marekani