Tuko hapa kukusaidia

Waonyeshe jamaa na marafiki safari zako

Katika miji ambapo kipengele cha Onesha Safari Yangu kinafanya kazi, unaweza kuwaonesha jamaa na marafiki mahali ulipo, hali ya safari na maelezo mengine yanayohusu safari. Unaweza kudhibiti watu watakaopokea maelezo haya na wakati utakapoyatuma.

KUANZA KUONESHA
1. Nenda katika "Mipangilio" kwenye programu
2. Chagua "Onesha Safari Yangu"
3. Sogeza kistari upande wa IMEWASHWA

CHAGUA UNAOTAKA KUWAONESHA
1. Ukiwa kwenye programu, nenda katika "Mipangilio" > "Onyesha Safari Yangu"
2. Gusa "CHAGUA ANWANI"
3. Chagua majina ya watu ambao ungependa waone hali ya safari zako

WASHA KIPENGELE CHA KUONESHA SAFARI YANGU NINAPOSAFIRI
1. Gusa alama ya pini iliyo upande wa juu kushoto mwa skrini ya ramani
2. Ukiona tiki ya bluu, basi maelezo ya mahali ulipo yanaoneshwa

Ili uzime kipengele hiki, gusa alama hiyo tena kisha uchague "ACHA KUONYESHA."
Sign in to get help