Tuko hapa kukusaidia

Nitafanya nini ili kusitisha kwa muda maagizo ninayopokea?

JINSI YA KUSITISHA KWA MUDA MAAGIZO YANAYOTUMWA
1. Fungua Dashibodi yako ya Mgahawa
2. Kwenye sehemu ya juu kushoto, chagua aikoni ya menyu
3. Bonyeza kitufe cha "SITISHA MAAGIZO MAPYA KWA MUDA"
4. Chagua muda unaotaka kusitisha maagizo, kisha uchague sababu
5. Bonyeza "THIBITISHA"

Dashibodi ya Mgahawa pia inaweza kusitisha kiotomatiki maagizo unayopokea. Hali hii inaweza kusababishwa na sababu mbili:
- Maagizo mengi yanayofuatana ambayo hayakubaliwi
- Muda unaochukua kukubali maagizo ni mrefu zaidi ya inavyotarajiwa. Kwa hivyo, wateja huyaghairi

Rejelea makala yaliyo hapa chini ili upate maelezo zaidi kuhusu kusitisha maagizo au kuangalia kama maagizo yako yamesitishwa kwa muda: