Chaguo za kupiga simu au kutuma ujumbe kwa dereva wako huonekana katika upau mweupe ulio chini ya skrini yako mara tu unapolinganishwa.
Kuna aikoni ya simu na kisanduku cha kuingiza ujumbe kwenye upau mweupe ambapo jina la dereva na taarifa ya gari huonekana.