Nililipa ada ya ziada ya ushuru

Gari la dereva wako linapopitia eneo linalotoza ada ya vibali au ada ya ziada, tutaongeza ada hizo kwenye nauli yako.

Tafadhali tufahamishe iwapo dereva wako alikuomba ulipe ada ya vibali au ya maegesho kwa pesa taslimu na pia ukatozwa kwenye stakabadhi yako.