Gari la dereva wangu lilikuwa tofauti

Dereva anapokubali ombi lako la safari, App yako itatoa uthibitisho wa muundo, aina na namba pleti ya gari la dereva wako. Maelezo haya yatakusaidia kutambua gari la dereva katika eneo atakapokuchukua.

Ikiwa dereva wako amewasili na gari tofauti na lililothibitishwa kwenye App ya Uber, tafadhali tupe maelezo zaidi hapa.