Pata makadirio ya nauli ya safari yako

Tembelea ukurasa hapo chini ili kupata makadirio ya nauli ndani ya jiji loote duniani ambapo Uber inapatikana.

Programu yako ya Uber pia inakuwezesha kupata makadirio ya nauli:
1. Sogeza pini inayopatikana ndani ya simu yako mpaka kwenye eneo ambalo ungependa kuanzia safari au andika jina la eneo hilo.
2. Andika jina la eneo unaloelekea.
3. Tumia kitufe cha kusogeza kinachoopatikana chini ya kioo cha simu yako ili kupata aina za huduma za Uber (mfano UberX au UberBlack). Gusa kwenye jina la chaguo lako ili kupata makadirio ya bei.
4.Chagua ENEO LA KUANZIA SAFARI YAKO. katika nchi nyingi duniani programu ya Uber itakutaka kukubali kadirio la bei la kwanza.

Kama kuna ongezeko la bei kwa sasa kwenye eneo ulilochagua kuanzia safari kwenye programu yako ya Uber, makadirio ya bei ya safari yako yatajumuisha gharama ya ongezeko la bei ili kukupa picha halisi ya gharama ya safari yako inavyoweza kuwa.

Tafadhali zingatia kuwa foleni, hali ya hewa, idadi ya wasafiri wanaohitaji safari pamoja sababu nyingine mbalimbali zinaweza kusababisha tofauti kati ya gharama iliyokadiriwa kabla ya safari na gharama halisi utakayotakiwa kulipa mwisho wa safari.

NOTE ABOUT TRIP PRICES:

  • If a trip is eligible for an active promotion on your account, the trip price will reflect the discount
  • Factors like heavy traffic or bad weather that extend the distance or duration of your ride can affect the amount you’re actually charged