Tuko hapa kukusaidia

Huduma za ufikivu katika Uber

Sheria za serikali na wilaya zinakataza ubaguzi dhidi ya watu wenye ulemavu, ikiwa ni pamoja na wale wanaoambatana na wanyama wa huduma. Washirika wanaotumia programu ya Uber wamekubali kufuata sheria zote husika na sera za Uber, ambazo zinaeleza kuwa washirika hawapaswi kutowahudumia wala kuwabagua wasafiri walio na ulemavu.

Tukipata ripoti yoyote kuhusu ubaguzi au kukataa kutoa huduma za usafiri kwa walio na ulemavu, tunaweza kufunga akaunti yako ya dereva kwa muda ili tuchunguze tukio hilo.

Aidha, madereva wanatarajiwa kuwasaidia wasafiri walio na vifaa vya kuwasaidia kutembea, fimbo, vijigari vya walemavu vinavyoweza kukunjwa au vifaa vingine visaidizi, kadri ya uwezo wao.