Nimeshindwa kubadilisha namba ya simu au anwani ya barua pepe

Ikiwa unapata ujumbe wa hitilafu unapojaribu kubadilisha nambari yako ya simu ya mkononi au anwani ya barua pepe au ikiwa hupokei msimbo wa uthibitishaji, tujulishe hapa.

Tunapendekeza uangalie tahajia ya barua pepe yako na uhakikishe kwamba umeweka nambari yako mpya ya simu kwa usahihi.

Ujumbe wa kiotomatiki utatumwa hapa ili kuthibitisha kwamba hakika ni wewe. Tafadhali fungua ujumbe huo na uchague "Thibitisha anwani ya barua pepe" ili uunganishwe na mwanatimu wetu. Writing in from