Kama malipo yasipokamilika, utaona kadi kwenye vidokezo vyako vya Uber.
Programu yako itakujulisha uweke kadi nyingine uweze kulipa deni la safari iliyoshindikana kutozwa.
Jinsi ya Kulipa deni lako:
1. Bofya kadi iliyoko kwenye kidokezo chako.
2. Chagua ''Njia za malipo''. Chagua aina ya malipo.
Taadhari: Unaweza hitajika kupakia kadi mpya ama kuweka njia mbadala za kulipia.
Pia unaweza chagua kulipa kwa pesa taslimu kwenye safari yako ijayo. Ili kulipa kwa pesa taslimu, chagua ''Lipa kwa dereva anaefata'' na kisha ''Ruhusu''. Kiasi cha fedha unazo daiwa kitaingizwa kwenye nauli yako inayofuata.