Kujisajili kwenye akaunti ukiwa mtoto

Ili uweze kutumia App ya Msafiri wa Uber kuitisha gari, sharti uwe na umri wa angalau miaka 18.

Tafadhali fungua kiungo kilicho hapa chini ili upate maelezo zaidi.