Je, Uber itapatikana lini na wapi katika mji wangu?

Uber inapatikana katika miji mingi duniani. Ukiwa na akaunti ya Uber, unaweza kuagiza gari katika mji wowote ambao Uber hufanya kazi, saa 24 kwa siku, siku saba kwa wiki.


Pata maelezo kuhusu maeneo ambapo Uber inapatikana na ugundue chaguo za magari kwa kutembelea kiungo kilicho hapa chini.