Kuagiza zaidi ya gari moja

Kwa kutumia programu yako ya Uber, unaweza kuomba gari moja kwa wakti mmoja. Unaweza kuomba gari jingine mara tu baada ya kumaliza safari yako ya sasa.

Katika miji mingi, Uber unatoa huduma mbali mbali za uchaguzi wa magari kama UberXL na Uber SUV. machaguzi haya ya magari yanaruhusu kupakia mpaka abiria 6 au zaidi. Kama unatuma ombi kwaajili ya watu wengi , ni vyema kuwasiliana na dereva aliyekubali ombi la safari yako. Hakikisha kuwa gari uliloomba lina siti za kutosha pamoja na mikanda ya viti kwaajili ya kila mmoja wao.

Kama unahitaji kusafiri wa kundi kubwa zaidi ya uwezo wa gari uliloomba, tafadhali waombe watu wengine ndani ya kundi lenu watumie programu zao za Uber ili waombe magari zaidi.

Kusafiri kwa makundi ni njia rahisi ya kuwaalika marafiki kutengeneza akaunti zao wenyewe za Uber. Chagua SAFARI BILA MALIPO kutoka kwenye menyu ya simu yako ili kuanza. Mara baada ya rafiki zako kufanya safari ya kwanza na Uber, utapokea malipo kwaajili ya mwaliko wako.