Niondoe kwenye akaunti ya kampuni yangu

Ikiwa ungependa kuondolewa kwenye akaunti ya Uber for Business inayodhibitiwa na kampuni yako, wasiliana na msimamizi wa akaunti ili upate usaidizi.

Ikiwa huwezi kuwasiliana na msimamizi kutoka kampuni yako, jaza fomu iliyo hapa chini na tutakuwa tayari kukusaidia.