Maelezo ya Ilani ya Faragha

Sera ya Faragha ya Uber inaelezea kuhusu taarifa tunayokusanya, inavyotumiwa na kusambazwa, pamoja na uhuru wako kuhusu taarifa hii.

Sera hii inahusu mtumiaji yeyote wa huduma za Uber au wabia wake popote ulimwenguni, pamoja na mtu yeyote anayewasiliana na Uber au anayetuma taarifa kwa Uber, isipokuwa kama imetajwa kwenye Sera ya Faragha.

Makala yafauatayo yanatoa maelezo zaidi kuhusu faragha, data, akaunti na ruhusa za akaunti: