Tuko hapa kukusaidia

Tumia Uber bila simu mahiri

Programu ya Uber imetengenezwa ili itumike kwenye smatifoni.

Ikiwa huna smatifoni, bado unaweza kuingia kwenye akaunti yako na uite gari kwa kutembelea tovuti yetu ya simu, m.uber.com.