Je kwanini nauli hubadirika?

Nauli ya mwisho inaweza kuwa tofauti na nauli iliyokadiriwa pindi unatuma ombi la safari kutokana na sababu mbalimbali.

NAULI YA MWISHO INAWEZA KUWA TOFAUTI NA MAKADIRIO YA MWANZONI:
Nauli ya mwisho ya safari inaweza kuwa tofauti na makadirio ya mwanzoni uliyoyaona kutokana na sababu kama; kubadirika kwa njia iliyotumika, ama kubadilisha kwa mahala pa kumchukua na kumshusha abiria na foleni.
Pia unaweza kuwa na deni la ada ya kughairisha safari.