Ukiona mojawapo ya ujumbe wa hitilafu ulio hapa chini kwenye programu yako, hutaweza kuomba usafiri hadi usasishe njia yako ya kulipa:
Sasisha au uongeze njia mpya ya kulipa katika Malipo sehemu ya menyu ya programu ikiwa njia yako ya kulipa ilikataliwa kwa sababu mojawapo iliyo hapa chini:
Huenda ukahitaji kuwasiliana na benki yako katika hali zifuatazo:
Ikiwa hakuna suluhu au masuala yanayotumika, shiriki maelezo hapa chini:
Tovuti hii hutumia vidakuzi vya washirika wengine kukupa matangazo yanayofaa na kukupa mapendeleo kwa kukumbuka mahali ulipo. Unaweza kujiondoa kwenye vidakuzi hivi kwa kuchagua kitufe cha "Jiondoe" hapa chini. Ikiwa una akaunti ya Uber, unaweza kujiondoa kwenye "mauzo" au "kushiriki" data yako hapa.