Tuko hapa kukusaidia

Inagharimu kiasi gani kutumia Uber Eats?

Uber Eats hutoa vyakula tofauti kwa bei tofauti tofauti. Ada na vyakula vilivyo kwenye tovuti ya Uber Eats na vilivyo katika programu ya Uber Eats vinaweza kuwa tofauti na vinavyotolewa kwenye migahawa. Ada kamili ya uagizaji wako katika Uber Eats itajumuisha kodi, na katika hali nyingi, ada ya kuweka agizo.

Kwa maelezo ya kina kuhusu ada ya kuagiza katika mji wako, tafadhali tembelea Uber Eats.com kisha uangalie sehemu ya Maswali Yanayoulizwa Sana jijini mwako.