Nilipokea chakula cha mtu mwingine

Ikiwa ulipokea chakula cha mtu mwingine kilichokuwa na vitu ambavyo hukuagiza, na ukatozwa ada ya uagizaji wako, tafadhali tujulishe hapa. Tutakagua na kufanya mabadiliko ifaavyo; hakikisha kwamba umejumuisha maelezo kuhusu bidhaa zilizokosekana au ambazo hukuwa umeagiza pamoja na kiasi ulichotozwa kwa kila bidhaa.

Ikiwa ungependa kuzungumza na mhudumu sasa hivi, tafadhali wasiliana na huduma kwa wateja wa Uber Eats katika eneo lako kwa njia ya simu.