Tuko hapa kukusaidia

Je, ninahitaji toleo lipi la iOS ili niweze kupokea maombi ya wasafiri?

Ikiwa unatumia programu ya madereva kwenye simu ya iPhone isiyo na mfumo wa uendeshaji wa iOS 9 au mpya zaidi, wakati mwingine arifa za maombi ya usafiri hukosa kuonekana vizuri.

Unaweza kusuluhisha tatizo hilo kwa kufungua kipengele cha Mipangilio ya simu halafu uende katika Arifa > Programu ya Madereva wa Uber. Geuza mtindo wako wa arifa kutoka “Bango” iwe “Angalizo”.

Utaanza kupokea arifa za kuibuka za maombi ya usafiri baada ya kufanya mabadiliko hayo. Gusa Chaguo ili uendelee.
Sign in to get help