Google Pay haiwezi kuongezwa kama mbinu mpya ya malipo kwenye akaunti za Uber.
Kama tayari una Google Pay kwenye akaunti yako, unaweza kuendelea kuitumia.
Huwezi kubadilisha mbinu yako ya malipo kuwa Google Pay baada ya safari kumalizika.